Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefanya Uteuzi leo.

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI          25/06/2021

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteuwa Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena A. Said amesema uteuzi huo unaanzia leo tarehe 25 Juni, 2021

 

IMETOLEWA NA IDARA YA HABRI MAELEZO


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.