Habari za Punde

UN Women Tanzania yaandaa mafunzo maalum kwa wajumbe wanawake wa BLW kuhusu uongozi

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid  akifungua mafunzo kwa wajumbe wanawake wa baraza la Wawakilishi kuhusu uongozi wenye kuleta mabadiliko yaliyoandaliwa na  UN Women huko Park Hayat hotel.
Waziri wa Nchi ofisi ya makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar mhe Dkt Khalid salum Mohammed  akikabidhiwa zawadi inayomaanisha uwezo wa wanawake katika uongozi kutoka kwa mwakilishi mkaazi wa Un Women Tanzania Professa Bernadeta Killian.

Wajumbe wa baraza la wawakilishi wakifuatilia kwa umakini mafunzo yanayoendeshwa na UN Women Tanzania kupitia umoja wa wawakilishi wanawake Zanzibar UWAWAZA.

Wajumbe wa baraza la wawakilishi wakifuatilia kwa umakini mafunzo yanayoendeshwa na UN Women tanzania kupitia Umoja wa Wawakilishi Wanawake Zanzibar UWAWAZA.

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Saada Mkuya akichangia katika mafunzo yanayoendeshwa na UN women tanzania kupitia umoja wa wawakilishi wanawake zanzibar UWAWAZA
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wakichangia katika mafunzo yanayoendeshwa na UN Women Tanzania kupitia umoja wa wawakilishi wanawake zanzibar UWAWAZA

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.