Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (NEW SALANDER)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale, wakati alipokagua ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (Salander) jijini Dar es salaam, Juni 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (Salander) jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.