Habari za Punde

Muonekano wa Jengo la Hoteli ya Kisasa ya Golden Tulip Zanzibar Airport Jijini Zanzibar.

Jengo la Hoteli ya Kisasa ya Golden Tulip Zanzibar Airport lililofunguliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Hoteli hiyo ikiwa jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.