Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akiwasili Jijini Dar es Salaam Akitokea Nchini Burundi Baada ya Kumaliza Ziara Yake ya Siku Mbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Burundi leo tarehe 17 Julai, 2021 baada ya ziara yake ya siku mbili nchini humo.

 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.