Habari za Punde

Vijana wa Baraza la Vijana Chakechake Pemba Waaswa

Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba Mhe.Bakari Hamad Bakar, akifungua mkutano Mkuu wa kwanza wa Baraza la Vijana Wilaya ya Chake Chake Pemba, na kutowa nasaha zake kwa Vijana wa Baraza mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba

BAADHI ya wajumbe wa Mkutano mkuu wa Baraza la Vijana Wilaya ya Chake Chake, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika mjini Chake Chake.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.