Meneja wa Chapa ya Zantel, David
Maisori akizungumza wakati wa semina kwa wasanii wa muziki visiwani Zanzibar. Tukio hilo ni sehemu ya maandalizi ya
tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika siku ya Agosti 21
katikaViwanja vya Amani Zanzibar.
Msaanii wa muziki kutoka kundi la
Wasafi, Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa semina kwa wasanii wa muziki visiwani Zanzibar. Semina hiyo ni sehemu ya maandalizi ya
tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika Agosti 21, katika viwanja vya
Amani Zanzibar.
Wasanii mbalimbali wa muziki kutoka Zanzibar, wakifuatilia kwa umakini semina maalumu juu ya namna bora ya kukuza vipaji vya muziki visiwani humo. Semina hiyo ni sehemu ya Tamasha la Zuchu Home Coming na Zantel litakalofanyika Agosti 21, katika Viwanja vya Amani Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment