Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akipokea kitabu kinachohusiana na taaluma ya uongozi kutoka kwa Mshauri wa mambo ya uongozi ndugu Ntangeki Nshala wakati alipomtembelea Jijini Dar es Salaam na kubadilishana nae mawazo.
Tags
HABARI
