Habari za Punde

Waamuzi Waliochezesha Mchezo wa Kitaifa wa Wachezaji wa Zamani Zanzibar Veterani wa Unguja na Pemba Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba.

Waamuzi Chipukizi waliochezesha mchezo wa Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar kutoka Timu za Veterani wa Pemba na Unguja mchezo uliodhaminiwa na Benki ya Watu wa Zanzibar, uliofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba Mwenye mpira ni Refarii alichezesha mchezo huo Haji Abdalla na (kushoto 0 Mshika Kibendera  katika mchezo huo Omar Ramadhan na (kulia) Mahir Rajab, Wameumudi mchezo huo kwa dakika 90, uliofanyika katika Uwanja wa Gombani Pembe.

Timu ya Veterani Pemba imeshinda mchezo huo kwa mikwaju ya Penenti 4-2.  

Wachezaji wa Timu ya Veterani Pemba waliopata penenti katika mchezo huo.
Issa Kassim ,Khamis  Wawingwi,Mohammed Malik,na Mohammed Ali na Rajab Hamad amekosa penenti.
Wachezaji wa Timu ya Veterani Unguja walioipatia penenti timu yao ni Saburi Khamis,Ramadhan Kidilu na waliokosa ni Nassor Bwanga na Masemo Makungu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.