Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA KWA NJIA YA VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa Ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 12, 2021. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu baada ya kuzungumza na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 11, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.