Aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara ametangaza rasmi kujiunga na Yanga jioni hii Jijini Dar es salaam, ametangaza kuhamia na familia yake nzima.
“Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo.
Ikumbukwe yakuwa Manara aliondoka Simba Sc baada ya kutupiana maneno na viongozi wa klabu hiyo kwa tuhuma za kuihujumu timu yake ambayo amekuwa nayo kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment