MKURUGENZI wa Usalama
na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Tanzania bara, Stella Katondo
akielezea madhumuhi ya Kongamano la siku ya Bahari duniani ambapo kitaifa Tanzania
limefanyika Kisiwani Pemba.
MWENYEKITI wa
Kongamano la siku ya bahari duniani, ambaye ni Afisa Mdhamini Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Uchukuzi Pemba Ibrahim Saleh Juma, akifungua kongamano la siku
ya Bahari duniani ambapo kitaifa Tanzania limefanyika Kisiwani Pemba.
AFISA Mwandamizi
kutoka ZMA Abdalla Mohamed, akiwasilisha mada juu ya Usalama wa Abiria katika
Meli, wakati wa kongamano la ya Bahari duniani, ambapo kitaifa Tanzania
limefanyika Kisiwani Pemba
MKURUGENZI Mkuu wa wakala wa shirika la meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge, akimueleza jambo afisa habari wa taasisi hiyo Nicholaus Kinyariri, wakati wa kongamano la siku ya Bahari duniani ambapo kitaifa Tanzania limefanyika Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment