Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi atembelea ghala la kuhifadhi karafuu na kuzindua meli ya mizigo na abiria M.V Ikraam1 Wete Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Biashara la Taifa  Zanzibar(ZSTC) Dkt.Said Seif Mzee akitowa maelezo,wakati wa ziara yake kutembelea Ghala la kuhifadhia Karafuu katika Bandari ya Wete Pemba, zikisubiri kusafirishwa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban.(Picha na Ikulu)

 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuizindua Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabaharia wa Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1, baada ya kuzinduliwa rasmin, katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba katika uzinduzi wa Meli Mpya ya Mizigo na Abiria  MV Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Abiria na Mizingo ya MV Ikraam 1. Bw Juma Amour  akizungumza na kutowa maelezo ya kitaalamu ya Meli hiyo, wakati wa hafla ya Uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika bandari ya Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Nahodha wa Meli ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua rasmin, hafla hiyo imefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Meli Mpya ya MV Ikraam baada ya kuizindua rasmin katika bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akikata utepe kuizindua Meli Mpya ya Mizigo na Abiria ya MV Ikraam 1, na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Meli hiyo Bw.Abduldhaful Ismal Mohammed,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.