Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Amehutubia Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Marekani, mara baada ya kuhutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Septemba 23,2021. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja  na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo Septemba 23,2021.
PICHA NA IKULU.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.