Spika wa Baraza la Wawakilishi mhe Zubeir Ali Maulid akiongea na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar, Balozi Said Salim Al-Sinawi wakati alipofika Ofisini kwake Chukwani kwa ajili ya kujitambulisha
Spika wa Baraza la Wawakilishi mhe Zubeir Ali Maulid akimkaribisha Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar, Balozi Said Salim Al-Sinawi wakati alipofika Ofisini kwake Chukwani kwa ajili ya kujitambulisha
No comments:
Post a Comment