Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Septemba 4, 2021. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Frank Chonya.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment