Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi azungumza kwa njia ya mtandao na Prof.Abdulrazak.Salum Gurnah mshindi wa tuzo ya Nobel

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza kwa njia ya mtandao na Mshindi wa Tuzo ya Nobel  ya Fasihi Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Prof.Abdulrazak Salum  Gurnah akizungumza akiwa Ofisini kwake Ikulu Zanzibar na kumpongeza kwa ushindi wa Tuzo hiyo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.