Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya kuzipokea Ndege Mbili Mpya za Shirika la Ndege la Air Tanzania aina ya Airbus A220-300, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
WATUMISHI REA WAPONGEZWA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamepongezwa kwa kujituma na
kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo
ikiwa...
9 hours ago

No comments:
Post a Comment