Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simao Mohammed Said Amekutana na Kuzungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammaed Said akimpa maelezo Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Balozi Donald J. Wright juu ya picha iliyopo ndani ya Wizara ya Elimu, wakati alipofika kufanya nae mazungumzo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume bwana Mahmoud Abdulhamid Alawi, akimkabidhi zawadi ya mlango ZANZIBAR DOOR,  Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Balozi Donald J. Wright baada ya kumaliza ziara yake ndani ya Taasisi hiyo, Mbweni Mjini Unguja.

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Balozi Donald J. Wright akimkabidhi kitabu maalumu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammaed Said ikiwa ni zawadi , baada ya kumaliza mazungumzo na ziara yake katika Taasisi yaSayansi na Teknolojia Karume Mjini Unguja.
Picha na Maulid Yussuf WEMA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.