Habari za Punde

DAR MABINGWA CRDB BANK TAIFA CUP 2021

Wachezaji wa timu ya kikapu Mkoa wa Dar es Salaam wakifurahi baada ya timu hiyo kuibuka washindi wa Kitaifa wa mashindano ya CRDB Taifa Cup 2021 yaliyofanyika Jijini Dodoma kwa kuwashinda timu ya Mkoa wa Arusha katika fainali 
Timu ya mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam wanawake wakifurahia ushindi wao baada ya kukabidhiwa kombi na mfano wa hindi ya sh milioni sita na laki tano kwa kuibuka washindi ya mashindano ya CRDB Taifa Cup  2021 yaliyofikia kilele chake mwisho wa wiki Jijini Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora ,Deogratius Ndejembi (katikati) akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya mpira wa kikapu  Mkoa wa Dar es Salaam ,Omari Juma (kulia) mara baada ya timu hiyo kuibuka washindi wa Kitaifa wa CRDB Taifa Cup 2021 yaliyofanyika Jijini Dodoma ,kushoto ni Mkurungenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ,Abdulmajidi Nsekela 
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora ,Deogratius Ndejembi (katikati) akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya mpira wa kikapu wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Hadija Kalambo (kulia) mara baada ya timu hiyo kuibuka washindi wa Kitaifa wa CRDB Taifa Cup 2021 yaliyofanyika Jijini Dodoma ,kushoto ni Mkurungenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ,Abdulm…

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.