Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia ngoma ya Bom inayochwezwa na Watoto wa chekechea mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar leo tarehe 18 Novemba, 2021.

Tamasha la Utamaduni wa Mzanzibari kuanza leo
-
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akisisitiza
jambo wakati akitoa Taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha
la ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment