Habari za Punde

Rais Mhe Samia aendelea na ziara nchini Misri atembelea jengo jipya la Makumbusho


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uhifadhi wa nyaraka mbalimbali alipotembelea  Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu alipotembelea  Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.