Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za
Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo
Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021. Wengine katika picha kutoka
kulia wa kwanza ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Geoffrey Mwambe pamoja na Mtendaji Mkuu wa
Kiwanda hicho Ramadhani Hassani Mlanzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua
Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing
Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua kazi mbalimbali katika Kiwanda
cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania
Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha
kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania
Limited wakati akipita kukagua hatua mbalimbali za utengenezaji wa nyaya
hizo za Mawasiliano Fiber katika kiwanda hicho kilichopo Mkuranga mkoani
Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wataalamu mbalimbali wa Kiwanda hicho cha Nyaya za Mawasiliano katika sehemu ya maabara ya kupima uwezo wa nyaya hizo kabla ya kuziingiza sokoni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa eneo la
Vikindu, Mkuranga mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbagala katika
eneo la Zakhem wakati akielekea kuzindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za
Mawasiliano kilichopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021.
PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment