Habari za Punde

Wanahabari wapewa mafunzo ya uhamasishaji wa elimu ya chanjo ya Uviko -19

Baadhi ya Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali waliohudhuria katika mafunzo ya uhamasishaji Chanjo ya Korona yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar
Mkuu wa Kitengo cha Ufatiliaji wa Mwenendo wa Maradhi Wizara ya Afya Zanzibar Asha Ussi Khamis akitoa Mada kuhusiana na Maradhi ya Korona katika mafunzo ya uhamasishaji Chanjo ya Korona kwa Waandishi wa Habari yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwangaza Salum Vuai akiuliza maswali katika hafla ya mafunzo ya uhamasishaji Chanjo ya Korona kwa Waandishi wa Habari yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Mratibu wa Elimu ya Afya Wizara ya Afya Zanzibar Halima Ali Khamis akitolea Ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika hafla ya mafunzo ya uhamasishaji Chanjo ya Korona kwa Waandishi wa Habari yaliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.