Habari za Punde

Waziri wa Kilimo atoa taarifa utekelezaji na mafanikio ya Wizara yake kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi

Waziri  wa Kilimo ,Umwagiliaji, Maliasili na  mifugo  Dkt. Soud Nahoda Hassan Akitoa taarifa ya  utekelezaji na  mafanikio ya Wizara yake, kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Mwandishi wa habari  Shirka la utangazaji Zanzibar (ZBC) Hamisuu  Ali akiuliza Swali kwa Waziri  wa Kilimo ,Umwagiliaji, Maliasili na  mifugo  Dkt. Soud Nahoda Hassan mara baada ya kuwasilisha taarifa yake ya utekelezaji na mafanikio ya Wizara , huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.