MKUU wa Wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya,
akishuhudia wananchi wa kijiji cha Mnarani Makangale wakiteka maji katika
mifereji, mara baada ya mamlaka ya maji Zanzibar Tawi la Pemba, kuifanyia
matengenezo mtandao wa maji unaopeleka kijijini huko, ikiwa ni siku chache
baada ya kuwapelekea maji wa kutumia gari la kikosi cha Zimamoto na Uokozi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya
(katikati), akishuhulia maji kumwagika katika moja ya miundombinu ya maji
iliyofanyiwa matengenezo na ZAWA Pemba, ili wananchi wa Kijiji cha Mnarani
Makangale waweze kunufaika na huduma hiyo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MMOJA wa Mafundi wa ZAWA Pemba, akimalizia kueka
sawa moja ya miundombinu ya maji ili iweze kuwafikia wananchi wa kijiji cha
Mnarani Makangale Wilaya ya Micheweni.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment