Habari za Punde

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua Ujenzi wa Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM, kinachojengwa eneo la Nala, Jijini Dodoma wakati alipotembelea ujenzi huo, Januari 15, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Adrien Ntigacika.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Musafiri Dieudonnee (kushoto) ambaye ni  Meneja wa  Mradi  wa Ujenzi wa Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM, kinachojengwa eneo la Nala, Jijini Dodoma,  wakati alipokagua ujenzi huo.
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa  Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM, kinachojengwa eneo la Nala, Jijini Dodoma ambacho Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wake
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitazama mitambo wakati alipokagua Ujenzi wa Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM, kinachojengwa eneo la Nala, Jijini Dodoma wakati alipotembelea ujenzi huo, Januari 15, 2022 . Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Adrien Ntigacika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa  Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM, kinachojengwa eneo la Nala, Jijini Dodoma,

                                                  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.