Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika Kikao Kazi kilichofanyika leo tarehe 13 Januari, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri wakimsikilizaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, (hayupo pichani ) alipokuwa akizungumza nao katika Kikao Kazi kilichofanyika leo tarehe 13 Januari, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment