Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa  UNDP hapa Tanzania Bibi Christin Musisi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu] 05/01/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza  Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP hapa Tanzania wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu] 05/01/2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.