RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anayeshughulikia masuala ya
Watu Wenye Ulemavu.Mhe Ummy Khamis, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-1-2022.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anayeshughulikia
Masuala ya Watu Wenye Ulemavu.Mhe Ummy Khamis, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 8-1-2022.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment