Habari za Punde

Wizara ya Afya yapokea msaada wa vitakasa mikono kutoka Umoja wa Wazanzibari wanaoishi Nchini Canada (ZANCANA)

 

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akipokea msaada wa vitakasa mikono kutoka kwa Umoja wa Wazanzibari wanaoishi  Nchini Canada (ZANCANA) ambavyo vitasaidia katika hospitali za Zanzibar Kwa muda wa mwezi mmoja kulia ni mwakilishi wa ZANCANA  Abdalla Issa.

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akiongea na waandishi baada ya kupokea msaada wa vitakasa mikono kutoka kwa Umoja wa Wazanzibari wanaoishi  Nchini Canada (ZANCANA) ambavyo vitasaidia katika hospitali za Zanzibar Kwa muda wa mwezi mmoja kulia ni mwakilishi wa ZANCANA  Abdalla Issa.


PICHA NA FAUZIA MUSSA - MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.