Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji pia Azungumza na Watanzania wanaoishi Umoja wa Falme za Kiarabu UAE-Dubai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji   kutoka Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania Waishio Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE. PICHA NA IKULU

 

 


 Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiwa katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, UAE.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.