Habari za Punde

Kituo cha watoto yatima Mazizini chapokea msaada wa Futari

Mwenyekiti wa Maskani ya CCM Mwembe Kisonge Abdalla watatu kutoka kulia akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa futari kwa watoto yatima wanaoishi katika  kituo cha kulelea watoto hao Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Maskani ya CCM Mwembe Kisonge Abdalla Akimkabidhi msaada wa futari kwa watoto yatima wanaoishi katika  kituo cha kulelea watoto hao Mazizini Zanzibar mmoja wa viongozi wa watoto hao leo.

Mmmoja wa watoto anaeishi katika Nyumba za kulelea watoto Yatima Mazizini akitoa neno la shukurani kwaniaba ya watoto wenziwe mara baada ya kupokea msaada wa futari kutoka Maskani ya CCM Mwembe Kisonge.

PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.