Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amtembelea Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt.Karume na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Mabodi

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume, alipomtembelea nyumbani kwake, Zanzibar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume, alipomtembelea nyumbani kwake, Zanzibar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi alipomtembelea nyumbani kwake kumpa pole kufuatia ajali ya ndege iliyomuhusisha mwanaye Arafat Abdallah Sadala iliyotokea wakati ndege hiyo ikikaribia kutua katika Uwanja wa Ndege wa Moroni ikitokea katika kisiwa cha Moheli nchini Comoro, Machi 6 , 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.