Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Waziri Mkuu wa Qatar.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu  huyo iliyopo Doha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz  Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha, Machi 22, 2022. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Dkt Mahadhi Juma Maalim
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz  Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu  huyo iliyopo Doha, Machi 22, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.