Habari za Punde

Baraza la Sanaa Pemba Wakabidhi Vitendea Kazi Kwa Maofisa Wao.

KATIBU Mkuu wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab, akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Afisa Utamaduni Wilaya ya Seif Salum Mussa, zilizotolewa na baraza la sanaa, sense, filamu na utamaduni Pemba.
BAADHI ya Pikipiki zilizotolewa na baraza la sanaa,sense,Filamu na Utamaduni Pemba, kwa ajili ya maafisa wake wa Wilaya za Pemba ili kurahisisha utendaji kazi wao.

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab, akizungumza na watendaji wa Wizara yake Pemba, wakati wa hafla ya kukabidhi Pikikipi nne kwa maafisa Utamaduni Wilaya, pikipiki zilizotolewa na baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni Pemba.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.