Habari za Punde

Mashindano Makuu ya 7 ya Kusoma Quran Tajweed Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmin katika Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed akisalimiana na Majaji wa Mashindano hayo kutoka Kenya na Misri, alipowasili katika Masjid Noor Muhammad S.A.W Mombasa kwa Mchina
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa kabla ya kuaza kwa Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed yalioandaliwa na Majlisul Quran Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaab yaliofanyika katika Masjid Noor Muhammad S.A.W. Mombasa kwa Mchina.

WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia Mashindano Makuu ya 7 ya kusoma Quran Tajweed yalioandaliwa na Majlisul Quran Zanzibar, yaliofanyika katika Masjid Noor Muhammad S.A.W Mombasa kwa Mchina


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.