Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Akabidhi Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bi.Maliha Mahmoud, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bw.Salmin Amour, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya futari mmoja ya Wananchi wenye mahitaji maalum Bi.Shufaa Khatib, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi sadaka ya futari kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati wa  kugawa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wenye mahitaji maalum, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar
WANANCHI wenye mahitaji maalum wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake wakati wa hafla ya kugawa sadaka ya futari kwa Wananchi hao iliofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square michezani Unguja
VIONGOZI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati wa hafla ya kugawa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wenye mahitaji maalumu iliyofanyika  katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Unguja Jijini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.