///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) wakati wa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika ukumbi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Futari Maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi.(kulia kwa Rais) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Mabodi
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto
kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena
Ahmed Said na (kulia kwake) Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe.Merina Joe Thomas
wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi,
baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,
iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein.Tunguu (SUZA)Wilaya ya Kati
Unguja.

No comments:
Post a Comment