Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekabidhi Msaada wa Futari kwa Wazee wa Wilaya ya Kusini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari  mmoja wa Mzee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw. Ussi Ameir, wakati wa kukabidhi sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini  Unguja.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari  mmoja wa Mzee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Arabia Ali Kombo, wakati wa kukabidhi sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mmoja wa Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Mohammed Abdalla, akitowa neno la shukrani, wakati wa kutoa sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumaliza kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini  Unguja.
///BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwakibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja
///BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwakibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwakibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja

MMOJA wa Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Ussi Ameir akisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari, iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.