RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo
Mwalimu Nyerere Mhe.Stephen Wasira alipowasili katika viwanja vya Chuo Kampesi
ya Karume Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya
Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati
Sheikh.Abeid Amani Karume, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Zanzibar Muzdalifa Ali Yassin
aliyebuni Satalati Dish Control kwa ajili ya kusetia program za TV, wakati
alipotembelea maonesho ya Wanafunzi Wabinifu wa Chuo hicho, kabla ya kufungua
Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume. na (kulia kwa Rais)
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Malimu Nyerere Mhe. Stephen
Wasira,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na
Mkuu wa Chuo Prof.Shadrack Mwakalila

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar Nassor Said Masoud, akitowa maelezo ya kifaa alichobuni cha kupimia COVID -19, wakati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wanafunzi Wabinifu wa Chuo hicho,kabla ya kulifungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume lililofanyika katika ukumbi wa Chuo Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi Yussuf Abass Saleh
akitowa maelezo ya kifaa alichobuni kwa ajili ya kupimia uzito wa gari
inayobeka mizigo, wakati akitembelea maonesho ya Wanafunzi wabunifu wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar, kabla ya
kulifungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume na (kulia kwa
Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Jamal Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkufunzi wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar Bw,Muhammad
Kassim Muhammad akitowa maelezo ya kifaa cha “ IOT Based Hydro-ponics
Monitoring System “ wakati akitembelea maonesho ya Wanafunzi Wabunifu wa vifaa
mbalimbali katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume
Bububu Zanzibar, kabla ya kulifungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa
Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani
Karume

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya
kuwasili katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya
Karume Bububu Zanzibar, wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki
kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume,na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mhe.Stephen Wasira,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Jamal Kassim Ali,Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt,Amani Karume na Mjane wa Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume,lililofanyika leo 5-4-2022 katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya Karume
Zanzibar

WASHIRIKI wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya
Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati
Sheikh.Abeid Amani Karume, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na
kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu
Zanzibar
MKUU wa Kampasi ya Karume Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere Dkt.Rose Mbwete akizungumza na kutowa maelezo ya Chuo wakati wa
hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume
lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Bububu Kampasi ya Karume Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira, wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika
leo 5-4-2022 katika ukumbi wa Kampasi wa
chuo hicho Bububu Zanzibar
MKUU wa Chuo cha Kumbukumbu ya Malimu Nyerere
Prof.Shadrack Mwakalila akizungumza wakati wa hafla ya ugunguzi wa Kongamano la
Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati
Sheikh.Abeid Amani Karume. lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya
Karume Bububu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira akizungumza wakati wa hafla
ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika
katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya Karume Zanzibar, na (kulia kwa Rais)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Jamal Kassim Ali na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume
MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere Mhe Stephen Wasira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano
la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume lililofanyika Kampasi ya Karume
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira akizungumza wakati wa hafla
ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika
katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya Karume Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Jamal Kassim Ali akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwali Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Nne
la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati
Sheikh Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya
Karume Zanzibar Bububu
WASHIRIKI wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya
Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati
Sheikh.Abeid Amani Karume, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na
kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu
Zanzibar.
WATOA Mada katika Kongamano la Nne la Kumbukizi
ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati
Sheikh.Abeid Amani Karume, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na
kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya
Karume Zanzibar
WAJUMBE wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Nne
la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayai
Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya
Karume Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa shindano la
Isha Mwanafunzi kutoka Skuli ya Michakaeni Pemba wa Darasa la 6 Halima Abaas Juma, wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo
hicho Kampasi ya Karume Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na
Wanafunzi walioshinda shindano la Isha, baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa
Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mtaafu wa
Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume baada ya kualizika kwa hafla ya ufunguzi wa
Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika katika
ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Zanzibar
No comments:
Post a Comment