Habari za Punde

Kundemba Mabingwa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja na Kupanda Ligi Kuu ya Zanzibar Kwa Msimu wa 2022/2023.

Mabingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja  kwa msimu wa mwaka 2021/2022 Timu ya Kundemba wakishangilia Ubingwa wao baada ya kukabidhiwa Kombe baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja dhidi ya Timu ya U.Mbuzini  kwa ushindi wa bao 4-1 Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja. 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.