Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amelifungua Soko la Samaki na Mbogamboga Tumbe.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Soko la Samaki Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 26-7-2022, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam, wakitembelea chumba cha kugandisha barafu katika Soko la Samaki Tumbe Wilaya ya Micheweni Pemba baada la kulifungua rasmin Soko hilo leo 26-7-2022, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, kutembelea Miradi ya Maendeleo
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.