Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Madarasa Manane Skuli ya Msingi Mkwajuni Yaliojengwa Kwa Fedha za Uviko-19. Akiwa Katika Zuiara Yake Wilaya ya Kaskazini Unguja.

MUNEKANO wa Madarasa Manne ya Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja yaliyofanyika ukarabati na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza katika Wilaya hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionda pazia kuashiria kuwe Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Manne ya Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja Mhe. Sadifa Juma na Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya Darasa kati ya Manne aliyoyafungua leo ya Skuli ya Msingi ya Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuyafungua Madarasa  Saba ya Skuli ya Msingi Mkwajuni yaliojengwa kwa Fedha  wa Mkopo nafuu wa Uviko -19, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini ”A” Unguja Mhe. Sadifa Juma, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskaziniu Unguja leo 19-7-2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.