MUONEKANO wa Jengo Jipya la Skuli ya Msingi
Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba, lililowekwa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, linalojengwa kwa Fedha za Uviko -19
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi
ya Masasi Const Ndg. Mathias John Msila akitowa maelezo ya michero ya jengo la
Skuli ya Msingi Makangale, wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la
Ujenzi huo leo 26-7-2022, linalojengwa kupitia Fedha za Uviko-19.na (kulia kwa
Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Zanzibar.Mhe Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi ya Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba,
inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya uwekaji wa Jiwe la Msingi
iliyofanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kutowa maelekezo kwa Uongozi
wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakati akitembelea moja ya madarasa
katika jengo hilo la Skuli ya Msingi Makangale baada ya kuweka jiwe la msingi,
(kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa. Skuli hiyo
inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, wakati akitembelea jengo la Skuli ya
Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba leo 26-7-2022, akiendelea na ziara
yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama
Mbarouk
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Makangale Ndg. Salim Mkadam Hamad.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Makangale inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Makangale
Ndg. Salim Mkadam Hamad.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji
wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Makangale inayojengwa kwa Fedha
za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
Mhe.Lela Mohammed Mussa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari na
Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)
akizungumza katika viwanja vya Skuli ya Msingi Makangale baada ya kuweka Jiwe
la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Makangale
BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari na
Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)
akizungumza katika viwanja vya Skuli ya Msingi Makangale baada ya kuweka Jiwe
la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Makangale
WANANCHI wa Kijiji cha Makangale Wilaya ya
Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani ) wakati akizungumza na Wananchi wa Makangale baada ya
kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Makangale Pemba inayojengwa kwa Fedha
za Uviko-19
No comments:
Post a Comment