Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Amekutana na Kuzungumza na IGP Wambura

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali wa Polisi Camillus Wambura leo tarehe 18 Agosti 2022 ofisini kwa Makamu wa Rais Jijini Dar es salaam.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali wa Polisi Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika ofisini kwa Makamu wa Rais leo tarehe 18 Agosti 2022 Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.