Habari za Punde

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. MARY MASANJA AHESABIWA KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akihojiwa na Karani wa Sensa, Anthony Mlegi (kulia), wakati akihesabiwa katika makazi yake kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.