Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ashuhudia Utiaji wa Saini Hati ya Makabidhiano ya "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia Kwa Vitalu vya Zanzibar Viwanja vya Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini wa Hati ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar , wakisaini ya makabidhiano hayo (kulia kwa Rais) Waziri wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba  na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar  Mhe Suleiman Masoud Makame, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022
WAZIRI wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba akimkabidhi "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili kwa Vitalu vya Zanzibar, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame.(kulia)  wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, na kushuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
WAZIRI wa Nishati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Januari Yussuf Makamba akimkabidhi "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asili kwa Vitalu vya Zanzibar, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame.(kulia)  wakati wa hafla ya utiaji wa saini ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, na kushuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Januari Yussuf Makamba akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini Hati ya  Makabidhiano ya "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika  leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame  akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini Hati ya  Makabidhiano ya "DATA" za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika  leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.

VIONGOZI Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya utiaji wa saini hiyo, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyika  Kazi zao Zanzibar wakifuatilia hafla ya utiaji wa saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa saini katika viwanja vya Ikulu
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika hafla ya Utiaji wa Saini Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.
BAADHI ya Watendaji wa SMT na SMZ wakifuatilia Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya utiaji wa saini hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  wakifuatilia  Utiaji wa Saini ya Makabidhiano ya “DATA” za Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia kwa Vitalu vya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-8-2022.
Picha ma Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.