Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi azungumza na wahariri pamoja na waandishi wa habari Ikulu leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari wa Magazeti, TV, Redio na Magazeti, mkutano uliofanyika leo 5-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati  akizungumza na Wananchi kupitia  Wahariri na Waandishi wa Habari na  vya vyombo  vya Serikali na Binafsi leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  ikiwa ni hatua yake ya kila kipindi kuzungumzia masuala mbali mbali 
WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wao  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022, (kushoto kwake) Katibu wa Rais Mhe.Masoud Balozi na Dkt Haji Makame Ussi.
WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wao  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
MWANDISHI wa habari wa Redio One na ITV Zanzibar Ndg. Faruok Karim akiuliza swali wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) na Wahariri wa Habari na Waandishi wa Habari uliofanyika leo 5-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWENYEKITI wa Zanzibar Press Club Ndg. Abdalla Abdulraham Mfaume akizungumza na kuuliza swali wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wao  uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.