Habari za Punde

Maonesho ya Kiislamu Katika Tamasha la Maulid Lafunguliwa Zanzibar

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akiwasili katika Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu Kisonge kwa ajili Ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid na kupokelewa na Masheikh mbalimbali Zanzibar.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (mwenye koti)akiuliza maswali wakati alipotembelea Banda la PBZ  Ikhilas katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge Jijini Zanzibar.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wakwanza kushoto)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Markazi ya Mkunazini Maalim Hamza Zubeir kuhusiana na Taarekh na Histaria ya wanavyuoni wa Afrika Mashariki wakati alipotembelea Banda hilo katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge Jjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Tamasha la Maulid na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge jijini Zanzibar.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara Kumbukumbu Kisonge Jijini Zanzibar
Baadhi ya Wananchi na wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kiislamu katika Tamasha la Maulid Mnara wa kumbukumbu Kisonge jijini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.